KUMBUKIZI | Tundu Lissu na Balozi Masilingi walivyokabiliana vikali VOA kuhusu Shambulio la risasi na Uchunguzi wake

KUMBUKIZI | Tundu Lissu na Balozi Masilingi walivyokabiliana vikali VOA kuhusu Shambulio la risasi na Uchunguzi wake

Masilingi alitaka kurusha ngumi hii sikušŸ˜…
Lissu alitumia kauli kali akamjaza Masiling akapanic Lissu alisema serikali ya wahuni anasema unaona Lugha unazotumia Masiling naomba LIssu rudi nyumbani tujenge nchi na huo ndo ulikua mwanya Lissu kutegeneza marafiki sana wa nje kutengeneza connection
 
Lisu anaweza bishana na mikoa mitatu ya Tanzania bila kuchoka.
 
Februari 8, 2019 Tundu Lissu pamoja na aliyekywa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi, walichuana vikali katika mahojiano yaliyofanyika VOA, kuhusu suala la shambulio la risasi dhidi ya Lissu na uchunguzi wake.

Lissu alieleza kuwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ilifanya uchunguzi wa shambulio hilo kufuatia agizo la Spika, lakini ripoti hiyo iliondolewa kwenye ratiba ya Bunge na kuzimwa kabisa.

Mazafaka Masilingi alidhani ile ilikuwa shouting match!
 
Back
Top Bottom