wimbi

Wimbi Dira Airways was a scheduled and charter, passenger and cargo airline based in Kinshasa, Democratic Republic of the Congo. It serves the country's main cities. As of May 2014 all of their planes were reported to be in storage.

View More On Wikipedia.org
  1. Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

    Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
  2. Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

    Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu Wamuulize luiza mbutu na dotinata Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni Na ya mkia...
  3. Kuibuka kwa wimbi la wajiitao mapunter twitter.

    Kuwako kwa wimbi kubwa na la ghafla mtandao wa X (twitter) kwa wanaojiita mapunter. Uchunguzi wangu... Wanatabia kama za watu wa forex now kuonyesha wana maisha mazuri sana na wanapiga hela kwenye betting. Mbili, code wanazotoa ni za kweli, bt kama ilivyo kwa wote mwisho wa siku huchezi ww...
  4. FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  5. Wimbi la Matajiri kuji Expose Kwenye Mitandao

    Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni watu wa Low profile zao sasa Vuup naona kwa sasa wameona waji Expose sana Pamoja na Kuwa wanafanya...
  6. J

    Kuna sababu ya kufupisha muda wa ajira serikalini ili kuto fursa za ajira kwa wimbi kubwa lililo mtaani?

    Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
  7. Kwanini kwa sasa kuna Wimbi Kubwa sana la Vifo vya ghafla ghafla vya Wasanii wa Maigizo nchini Tanzania?

    Je, ni.... 1. Ahadi ya Mola 2. Kafara la Kundi 3. Dally Kimoko Virus 4. Kurogana / Kupigana Vipapai 5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
  8. Ustawi wa Jamii: Tunajiandaa Vipi na Kuzuia Wimbi la Wazee Ombaomba wa Kesho ?

    Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
  9. D

    Kuhusu swala la ajira utaratibu ulibadilika awamu wa 5 Kulirundikwa watu mtaani sasa mama anahangaika kupunguza angalau hili wimbi la unemplyoment

    Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini. Sasa lilikuja likaharibu kila...
  10. Angalia kimbunga Milton kilivyotua huko Marekani! Angalia maajabu ya ndege! Angalia urefu wa wimbi!

    Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
  11. Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  12. James Mhilu: Yanapoibuka Magonjwa ya Milipuko kunaibuka wimbi la taarifa za upotoshaji

    Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma imesisitiza juu ya umuhimu wa taarifa sahihi katika nyakati ambapo yanaibuka magonjwa mbalimbali ya milipuko nchini. Akizungumza leo October 4, 2024 katika mafunzo na Wanahabari yaliyoratibiwa na Kitengo Elimu ya Afya kwa Umma kuhusu...
  13. Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  14. Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  15. G

    Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

    Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa? Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
  16. Wimbi la Watu kwenda kusoma Ulaya na Maendeleo ya Vyuo Vikuu Nchini

    Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la Kwanza hadi Uprofessa.. Yakikukuta haya Utakuwa Mgonjwa milele "Hata Mimi nataka Kuwa Mtumwa karne hii...
  17. Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  18. A

    KERO Kuna wimbi la michango Shuleni hasa Shule za Msingi

    Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango 1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/= 2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka 3. Hela ya jiko Tsh...
  19. Ushuhuda; Kutokana na wimbi kubwa la Pisi Kali nimejikuta naukata mzizi wa Ubahiri bila Shuruti

    Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili. Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
  20. WIMBI: Ujauzito kwa mabinti wadogo chini ya miaka 18; nani haswa wa kulaumiwa?

    Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini. "Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…