Wimbi Dira Airways was a scheduled and charter, passenger and cargo airline based in Kinshasa, Democratic Republic of the Congo. It serves the country's main cities. As of May 2014 all of their planes were reported to be in storage.
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji...
Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila.
Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6...
Habari za asubuhi wana JF,
Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee na wanawake kujiingiza kwenye kamari (kubeti), tatizo umasikini au ndio maendeleo ya soka nchini?
Nakumbuka World Cup last year kila mtu ni kubeti tu, ukikutana na wazee, wanawake wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia...
Naliiona hali ikianza katika hali ya utani. Taarifa ya kwanza ya habari kuhusu kukatiliwa kwa mwanamama mwenye umri wa miaka zaidi ya arobaini dhidi ya binti wa miaka 20+ itasikika kwenye kituo cha runinga. Habari hii itawaacha midomo wazi wanadamu, ndipo itasikika kauli ya "Wanaume wamejazana...
Mkesha wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China ulifanyika tarehe 21 Januari mwaka huu, ambapo wanafamilia kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika pamoja na kukaribisha Mwaka Mpya wa Sungura.
Sikukuu hiyo kwa mwaka huu ilikuwa ni ya kwanza kufanyika baada ya China kutangaza mapema Januari kuwa, inapunguza...
Imekuwa kawaida kwa mawimbi ya hii ngwengwe kukatiza duniani mwishoni mwa mwaka kuelekea mwanzoni mwa miaka mipya.
Rejea historia, mengi yanajiongelea menyewe.
Tayari nchi kadhaa zikiwamo India, Japan na Marekani zimechukua tahadhali na wasafiri ndugu zetu damu damu kutokea pande za China...
Mwezi Aprili mwaka huu, Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen alitangaza mkakati mpya wa mnyororo wa utoaji bidhaa uitwao friend-shoring, unaolenga kuunganisha baadhi ya nchi zilizoendelea ili kuzitoa nchi zenye maoni tofauti na maadili ya pamoja nao kwenye minyororo yao ya utoaji bidhaa...
Ndugu zangu,
Kabla ya wiki kuisha nimeona niwashirikishe hili. Wiki hii nimehudhuria warsha kadhaa hapa mjini na nimeona kitu ambacho naweza kusema ni wimbi la uwepo wa vijana wengi wasomi ambao nadhani wamevutiwa na idea nzima ya kuitwa/ kujulikana kama waanzilishi au ma-ceo katika makampuni...
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee.
Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi.
Hili likifanyika litapunguza...
Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika ulimwengu wetu huu wa kisasa na wakati mwingine unaweza kuwa upanga ukatao kuwili; inaweza kusaidia...
Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga.
For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
UTANGULIZI
Inatazamiwa kuwa zaidi ya asilimia 75% ya jamii iliyopo kusini mwa jangwa la sahara ni vijana,ikiwa nusu ya hii asilimia 75% wana umri chini ya miaka 25 na hali ya elimu katika nchi hizi zilizopo kusini mwa jangwa la sahara imezidi kuongezeka siku hadi siku.Mfano Nchi ya Tanzania...
Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali hii.
Jakaya katika mhula wake wapili kulitokea Hali kama hii lakini alifanya mbinu ya kuagiza mchele...
Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo
Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
Mzuka wanajamvi!
Hali ya kiuchumi Urusi ni mbaya. Zaidi ya mamilionea elfu 15 pamoja na wafanyabiashara wanatoroka Urusi nakuhamia Dubai na Uturuki.
Dubai na Uturuki zimefaidika sana kwa wimbi la hawa mamilionea wa kirusi ambao wamehamishia hela zao huko.
Mamilionea hao wanatoroka Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.