Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa.
=====
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya...
Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT.
Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza....
Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
Chorus
Jumuiya Yetu sote tuilinde
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu.
1st stanza
Ee Mungu twaomba ulinde
Jumuiya Afrika Mashariki
Tuwezeshe kuishi kwa amani
Tutimize na malengo yetu.
2nd stanza
Uzalendo pia mshikamano
Viwe msingi wa Umoja wetu
Natulinde Uhuru na...
Wakuu,
Mbio za mwenge zilihitimishwa tar 14, Oktoba na wakimbiza mwenge huo kutakiwa kukamilisha zoezi hilo kwa kufika katika kelele cha mlima huo pamoja na kuweka bendera ya taifa.
Wajuba walikamilisha zoezi na hapa wanaimba wimbo wa taifa kwa uzalendo mkubwa uliotukuka!
Pia soma: Rais...
Kwa kuwa wenzetu Zanzibari wameamua kuwa na kila kitu chao kinachowatambulisha kama taifa nadhani na sisi watanganyika ni muda wa kuanza kufufua matumaini ya kuwa na utambulisho wetu kama taifa.
Bendera tunayo;
Wimbo wa taifa la Tanganyika;
Nchi yangu nzuri Tanganyika,
Amani, Upendo...
Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia.
Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga.
Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897.
Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika.
Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa
Katika vitu ambayo...
Leo nimemsikia kwa masikio yangu mawili mtume Mwamposa akiimba wimbo wa taifa kanisani kwake Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukumbuke wimbo wa taifa ni moja ya nembo na alama za taifa. Wimbo huu unaimbwa nyakati maalumu, kwa mfano kabla ya Rais kulihutubia taifa na wakati timu ya taifa...
Wimbo wa taifa la hispania (The Marcha Real) ni moja ya nyimbo za taifa zisizo na maneno rasmi, hata hivyo kuna maneno (mashairi) yaliwahi kuandikwa huko nyuma.
Aina mojawapo ni utunzi wa maneno yaliyotungwa kipindi cha utawala wa Alfonso XIII's na mwingine katika utawala wa Francisco Franco...
Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania.
Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema litaanza kuwachukulia hatua wananchi wanaokaidi kutii sheria za nchi kwa kutokuwa na utayari wa kusimama na kuimba wimbo wa taifa kwenye shughuli za kiserikali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema leo Ijumaa Aprili 21, 2023 ikiwa ni...
Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
Nukuu:
“Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili...
Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB.
Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo !
Huu ni wimbo sugu unaoimbwa na...
Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani,
Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na sehem maarufu zaidi ikiwa ni uwanjani inapocheza time yetu yeyote ya Taifa.
Ukweli ukiangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.