Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana.
Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America alikoalikwa na rafiki yake Jack walioachana miaka 12 iliopita. Ryan anasumbuliwa na madeni yaliyotokana na...