gari ndefu kama treni
nani anataka wagon, gari fupi halafu ndefu kishenzi.
Usihatarishe maisha ya watoto wako.bossFamily car.
Gari imafanana na panya
HahahahaUsihatarishe maisha ya watoto wako.boss
Bora uwanunulie bodaboda😅😅
Umeona eeeh?! 😂😂😂😂gari ndefu kama treni
Jamaa vip?Gari hii nikiona, huwa naifananisha na panya,
😂😂😂😂😂😂
Poaa tyuuhJamaa vip?
Hujachaguliwa Mfanyakazi bora idara yako.Poaa tyuuh
Ngoja nicheke, mbna mie jobless Pro.Hujachaguliwa Mfanyakazi bora idara yako.
😁Sina gari ila hio gari mbaya kama nungunungu
😅😅 Ujobless sawa huo upro umeanza lini 😁Ngoja nicheke, mbna mie jobless Pro.
😂😂😂😂😂