Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

Kwa sisi tusiojua magar tunajionea sawa halina shida naona majiran zangu wawili wameyanunua mmoja black sijui na mwingine silver kumbe ni mabaya kaaaah tembea uone
 
Hii gari ni ndefu sana na ina uvungu mfupi kwa kimo. Kwenye matuta yenye muinuko mkubwa au mashimo marefu kuna hatari ya haribu gari.
 
Mtu kweli unatoa hela unanunua wish au rumioni
 
Mtu kweli unatoa hela unanunua wish au rumioni
Rumion nimeishi nayo miaka minne changamoto yake kubwa ni ground clearance nilikuwa natengeneza bumper ya mbele kilasiku kutokana na barabara zetu za uswahilini ila bado rumion itabaki kuwa gari pendwa.
Ina nafasi kubwa Sana ndani ,ulaji wa mafuta ni mzuri hata kwenye performance iko poa tu
 
watu wa wapi ao waliokimbilia hizo baby woka ndefu? ni wa kijijini kwenu au?
 
Back
Top Bottom