Dhamira yako ya ndani kabisa, ikupe ujasiri wa kuanzia hapo ulipo, tena kwa mambo madogo kabisa yaliyo ndani ya uwezo wako. Mawazo yako, maono yako, ubunifu wako, ushauri wako, ujengaji hoja wako uthubutu wako kwa maneno na matendo ndio viwe vyanzo vya ushawishi wako kwa jamii. Hicho ndicho kiwe...