wito

Parque Luis A. "Wito" Morales (Luis A. "Wito" Morales Park) is a park in the municipality of Ponce, Puerto Rico. It is part of the Lake Cerrillos Dam recreational area.

View More On Wikipedia.org
  1. SAYVILLE

    Wito wa kuirudisha fainali ya Ngao ya Jamii 2023 mjini Dar es Salaam

    Ni jambo jema kupeleka mechi kubwa katika maeneo tofauti ili watu wa maeneo ya huko ambao huwa hawana nafasi ya kuziona mechi kama hizo waweze kupata fursa hiyo. Shida kubwa inakuja kuwa viwanja hivyo haviandaliwi vizuri ili viendane na hadhi ya mechi husika. Ingekuwa vyema mechi kama hizi...
  2. Roving Journalist

    Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

    Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache...
  3. Teko Modise

    Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani. Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
  4. Replica

    Tanzania yalaani mapigano yanayoendelea Sudan na kutoa wito wa suluhu, kuondoa raia wake ikihitajika

    Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania aliyedhurika. Tanzania imesema inafanya mpango wa 'evacuation' kwa raia wa Tanzania endapo itahitajika.
  5. B

    Wito butu wa mgomo kufuatia ripoti ya CAG

    Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama: Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama. "Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha lipwa kufikia 31/3/2023." Hivyo: 1. Wito huu unategemewa kutekelezwa vipi? 2. Kwanini vyama hivi...
  6. AbuuMaryam

    Wito wangu kwa wanandoa na wenye mamlaka!

    بسم الله الرحمن الرحيم. Mimi ni mwalim wa dini na imam katika msikiti ulipo eneo ninalo ishi... Kwa nafasi yangu huwa napokea kesi na migogoro mbalimbali kusuluhisha na kushauri. Nina wito huu kwa wanandoa wa dini zote na mamlaka zote zinahusika na masuala ya ndoa na muunganiko wa kijamii...
  7. Kaka Yaoh

    Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam. Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
  8. M

    Ualimu ni kazi au ni wito?

    1. Kishikwambi cha msaada, vingi vimezimwa hamuna bando. 2. Hakuna safari wala posho. 3.Kusimamia mtihani posho ya elfu 40 wapo tayari kufanyiana figisu. 4. Kusahihisha mtihani posho haizidi laki 5 hapa sasa ni kizaizai nusu afe mtu. 5. Kwenye uchaguzi wanatumika kupinduapindua meza kwa...
  9. Chizi Maarifa

    Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
  10. RugambwaYT

    Mafundi wa Namna hii Wanapatikana Wapi?

    Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
  11. Lady Whistledown

    Algeria: Amnesty yatoa wito wa kuachiliwa kwa Mwandishi Ihsane El Kadi

    Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria kutoka kwa watu na Mashirika "kwa kubadilishana na kutekeleza shughuli ambazo zinaweza kudhuru usalama...
  12. Naanto Mushi

    Wakongomani 10,000 wameitikia wito wa kujiunga na jeshi ndani ya mwezi mmoja

    Ile mobilisation aliyoianzisha rais Tshisekedi ni kama inaanza kuzaa matunda, vijana wanaonekana kuwa na morali na hasira kali sana. Japo sijajua uiamara wa mafunzo yao, ila kwa kinachoendelea, nadhani at some point Kagame itabidi afanye reassessment ya alichokuwa anakifanya Congo. Kama vita...
  13. Man from cuba

    Mwalimu Yusuph na dhana nzima ya Ualimu ni wito

    Huyu ni mwl Yusuph, mwl ambaye kwake ualimu ni wito kama enzi za Nyerere
  14. Pascal Mayalla

    Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  15. M

    Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

    Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi? Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana. 1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia...
  16. Pascal Mayalla

    Kumuenzi Baba wa Taifa: CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla. Je, tunamuenzi kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo? Tunamuishi?

    Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
  17. Shujaa Nduna

    Natoa wito kwa Serikali kufanya uchunguzi kwenye Makanisa

    Serikali ianzishe uchunguzi wa makanisa yote na madhehebu ili kubaini yale yenye ukwasi mzito kwa kuwarubuni waumini kupitia jina la Yesu wayafungiye au walipe mapato. Kama mmeweza kuruhusu makampuni ya michezo haramu ya kalyinda, crypto currency kwakuwa tu wamejisajili wakalipa ili wafanye...
  18. Pascal Mayalla

    Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

    Wanabodi, Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura! Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi. Huyu ni Mheshimiwa...
  19. L

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja

    Haki na Usawa: Wito wa China wa kuwa na jamii yenye haki zaidi yenye mustakabali wa pamoja NA BRYAN OTIENO "Muunganiko na muunganiko, hufuatana umbali wa maili elfu moja." Matukio sawa ya kihistoria na ujumbe sawa wa kihistoria umeunganisha kwa karibu China na Afrika, na China na Afrika...
  20. N

    Jenerali Manara, wanayanga wanasubiri wito na amri yako kuhusu Morrison kufungiwa

    Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa? Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana...
Back
Top Bottom