Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara.
Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha.
Kuna...
Kwenye masuala ya uongozi kuna kanuni moja muhimu sana isemayo ' usitake kumfunika boss wako'.
Kwa kingereza wanasema 'never outshine your master', anayekuapisha daima ni mkubwa wako wa kazi hata kama nafsi yako inakuambia kwamba wewe unamzidi maarifa na kila kitu. Siku zote jifanye mjinga kwa...
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk 21.07.2024 alijiuzulu ubunge wa kuteuliwa na Rais, akiwa Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Jumapili, 21.07.2024 usiku, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akateuliuwa kuwa Waziri katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.