wizara mambo ya nje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Hali ya Usalama Mashariki ya Kati na Mwongozo kwa Watanzania

    Wakuu, Nimeona ni vyema tushirikishane taarifa muhimu iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ya tarehe 02 Februari 2026) kuhusu usalama wa ndugu zetu waliopo au wanaopanga kusafiri kuelekea nchi za Mashariki ya Kati. Kutokana na hali ya usalama inayoendelea...
  2. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje inakinzana na ya Vatican News. Ni kama Wizara inapambana kupotosha taarifa rasmi ya Vatican

    Hii safari ya wale waheshimiwa kule Vatican ilikuwa ya kificho, ndiyo maana hawakupost chochote mpaka walipoona Vatican wamelimwaga hadharani ndipo na wao jana wakajifanya kupost kuhusiana na hiyo ziara ya siri. Taarifa yao waliyotoa hiyo jana inakinzana mambo kadhaa na yale yaliyoko...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje sasa inaheshimiwa, si tena ya kupanga Viti

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabith Kombo, amesema kuwa taswira ya Wizara ya Mambo ya Nje imebadilika kwa kiasi kikubwa na sasa inaheshimiwa na kushirikishwa katika uamuzi muhimu wa kitaifa na kimataifa, tofauti na miaka ya nyuma ambapo ilionekana...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Usitake kumfunika boss wako, kilichomuondoa Makamba Wizara ya Mambo ya Nje

    Kwenye masuala ya uongozi kuna kanuni moja muhimu sana isemayo ' usitake kumfunika boss wako'. Kwa kingereza wanasema 'never outshine your master', anayekuapisha daima ni mkubwa wako wa kazi hata kama nafsi yako inakuambia kwamba wewe unamzidi maarifa na kila kitu. Siku zote jifanye mjinga kwa...
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepuuza Katiba katika Uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje?

    Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk 21.07.2024 alijiuzulu ubunge wa kuteuliwa na Rais, akiwa Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Jumapili, 21.07.2024 usiku, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akateuliuwa kuwa Waziri katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Back
Top Bottom