SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi magari 12 kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora wa Shule, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mifumo ya usimamizi wa elimu nchini.
Magari hayo yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.7 yamekabidhiwa kwa halmashauri 11 pamoja na ofisi za...
Husika na kichwa habari hapo juu;
Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake.
Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
Natumai barua hii itakufikia salama. Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliye katika Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu, wilayani Rombo. Nimeandika barua hii kuwasilisha maswali na malalamiko yangu kuhusu kambi inayotarajiwa kufanyika kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili kwa gharama ya shilingi...
Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wanafunzi wenye watoto wachanga kupitia elimu nje ya mfumo rasmi, ili kuwawezesha kunyonyesha watoto wao kwa wakati wanapoendelea na masomo.
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Najma Giga bungeni leo, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari...
Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa....
Waziri...
Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi.
Jambo la ajabu ni kwamba:-
1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana.
2. Barua...
Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema kufuatia taarifa ya Serikali kuhusu agizo la baadhi ya Watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani, Wizara hiyo inaelekeza Shule zote za Msingi, Sekondari na Vyuo katika Mkoa wa Dar es Salaam kufungwa kwa siku mbili January 27 na January 28...
Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM
ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za siasa wakati wa muda wa masomo, jambo ambalo ni kinyume na miongozo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:
Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!
Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali...
Kuna tatizo kubwa kwenye ubora wa elimu yetu, mimi siyo muandishi mzuri ila nimeona mfumo wetu wa elimu unajenga watu kukariri ili ufaulu mtihani na siyo kujifunza au kuelimisha
Hii imepelekea mashule yamejikita kufanya njia yoyote hata ya haramu ili mradi wanafunzi wao wapate ufaulu wa juu na...
Kwanza napenda kukupongeza wewe binafsi kwa kuwa nakuona unajitahidi sana kujaribu kuleta suluhu kwenye suala la ubora wa elimu yetu.Hata hivyo jitihada zako pamoja na washauri wako bado hamjaweza kutatua kiini cha tatizo ambalo kimsingi sisi wadau wengine tunaliona.
Mimi sina elimu kubwa...
Mnamo tarehe 28 Septemba bodi ya mikopo HESLB ilianza kutangaza waliopangiwa mkopo awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
Kadhalika Bodi ya Mikopo ya Wanafurnzi wa Elimu ya Juu (HESLB) siku ya Jumatano (Oktoba 09, 2024) ilitangaza awamu ya pili...
Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na nne. Shule hizi hulazimisha wanafunzi kuchangia mitihani hiyo ambayo huifanya kila Jumamosi. Wanafunzi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameweka jiwe la msingi katika shule ya Sekondari Makowo iliyojengwa kupitia Mradi wa kuendeleza Elimu ya Sekondari (SEQUIP)
Akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi Septemba 20, 2024 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
Kama kweli tunataka mabadiliko katika sekta ya elimu Profesa Kitila Mkumbo apelekwe ELIMU, mwamba kafanya tafiti haswa kwenye ELIMU. Nimechungulia profile yake huko GOOGLE SCHOLAR unaweza kulia namna ambavyo hatumtumii kwenye sekta husika...
Katika kuzurura kwangu nikakatiza Halmashauri ya mji wa Bunda kata ya Guta kijiji cha Nyabehu katika shule ya msingi Nyabehu, Aibu niliyokutana nayo katika shule hii ni aibu mbaya kwa Halmashauri ya mji ya Bunda, kwenye shule hii tangu kuanzishwa kwake hakuna huduma ya maji hali inayopelekea...
Tangu zamani vitabu vya fasihi andishi vinavyotumika ni vilevile si kwenye somo la kiswahili wala English.
Vitabu kama 'The black hermit' na vyakina Ngoswe na kilio chetu ni vya zamani sana. Serikali ibadilishe vitabu na ilete vitabu vipya.
Haiwezekani mimi nisome vitabu hivyo na wajukuu...
Jana nilipata nafasi ya kukutana na Kiongozi mmoja wa Ubalozi wa New Zealand nchini Tanzania, tulipata wasaha wa kula chakula cha jioni yeye pamoja na familia yake. Tulikuwa kwenye hoteli moja maarufu sana haa Dar es Salaam, na baada ya kupata chakula tulizungumza mambo mengi na kupiga stori...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri katika kutoa Nishati Jadidifu.
Akizungumza Julai 30, 2024 baada ya kuweka Jiwe hilo la Msingi Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.