Watoto wanaumia sana na hii ratiba hasa kwa mazingira ya shule zetu watoto wanafika majumbani saa mbili hadi saa tatu usiku ukiwauliza wanadai foleni mara daladala zinasumbua
Hebu Serikali mlione hili hata kama ndio kusoma hapana
Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe.
Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
Habari wadau
Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana.
Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya.
Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza kujiunga na kozi husika sababu kuu za kukosa zinaweza kuwa:
1. Ushindani mkubwa kwa kozi husika
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.