wizara ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chipoku

    Rais Samia, Unda kikosi kazi cha taifa kuhusu elimu tuitakayo Wizara ya Elimu iwe mbali na kikosi kazi hicho

    Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili Kassim Mpingi Rufiji- Pwani Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Elimu Yetu Kuanzie Ile Ya Awali Mpaka Elimu Ya Juu. Wakati Mwalimu Nyerere Anaamua...
  2. Roving Journalist

    Tanzania kujenga chuo kipya cha TEHAMA Dodoma

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael Mkoani Dar es Salaam tarehe 19 Juni 2022 wakati wa kutiliana saini za...
  3. F

    Madhara ya kumuondoa Profesa Ndalichako Wizara ya Elimu yaanza kung'ata

    Elimu ni mojawapo ya wizara zilizoleta taharuki ya kuondolewa mawaziri wao kufuatia ladha za utendaji wao zilivyokuwa tamu kwa taifa (wananchi). Wizara zingine ni Ardhi na Sheria & Katiba. Malalamiko ya ardhi yaliyokuwa yamepunguzwa sana na Mhe. Lukuvi sasa yameanza kurudi kwa kasi. Prof...
  4. S

    Wizara ya elimu Mjipange

    Hii wizara ya elimu ina tatizo kubwa ambalo ninaliona katika mifumo yake na sidhani kama inatakiwa kuwa ya kienyeji namna hii. Mimejaribu kupitia design yake na logo zake zilizopo katika website yao nimegundua kuna tatizo kubwa mno. 1.watu wake wa Tehama sijui waliokota wapi inaonekana ni...
  5. Replica

    Wizara ya Elimu: Mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008

    Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne. Naibu waziri amesema kutoka mwaka 2008 hakujawahi kutokea kuvuja mitihani bali kinachotokea ni udanganyifu...
  6. REJESHO HURU

    Tamisemi na Wizara ya Elimu mawazo ya Profesa Kitila Mkumbo yasipuuzwe

    Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu...
  7. Roving Journalist

    Prof. Mkenda wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia asoma Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23

    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
  8. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Kaya zenye Wazazi Waliosoma zina Usitawi kuliko Kaya ambazo Wazazi hawajasoma

    Salaam Wakuu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda, amesema Takwimu zinaonyeshwa kwamba Kaya zenye Wazazi Waliosoma, zina Usitawi kuliko familia za Wazazi ambao hawajasoma. Hata Nchi zilizowekeza kwenye Elimu zina maendeleo zaidi ya Nchi ambazo hazijawekeza kwenye Elimu...
  9. F

    TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi. Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
  10. M

    Serikali chunguzeni unyanyasaji, dhuluma na udhalilishaji unaofanywa na Mkuu wa Shule ya St. Margaret Maria Alokok, Igunga, Tabora

    Kimsingi sisi wazazi ndio waendeshaji wakuu wa shule hii kutokana na ada pamoja na michango mingine tunayolipa, pamoja na mambo mengine wazazi hatufurahishwi na vitendo vya udhalilishaji na dhulma anazofanya mkuu wa taasisi hii ambaye ni mtawa wa kanisa katoliki, kanisa lenye reputation ya...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  12. M

    Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

    hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki... MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi.. anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
  13. MR.NOMA

    Wizara ya Elimu iwasaidie wazazi katika hili waache kuibiwa

    Wakuu habari! Tukiwa tunaelekea mwezi Januari ambapo wazazi wengi wenye watoto wanaosoma sekondari watatakiwa kuhakikisha wanawanunulia watoto mahitahi yote muhimu ya shule kabla ya shule kufungua ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya masomo. Sasa Kuna mahitaji mengine wanayoagizwa watoto wa...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  15. Ngungenge

    Dkt. Jakaya Kikwete kuwa mwenyekiti wa Bodi ya GPE ni fursa kwa Tanzaina; Wizara ya Elimu Changamkeni, Ndalichako usisale

    Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania. Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani. Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
  16. S

    Wizara za TAMISEMI na Elimu liangalieni hili, watu wananyanyaswa

    MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO? Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu! Amani iwe kwako! Miezi michache iliyopita, Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula, ilifichua taarifa za kupigwa kwa Witness...
  17. Maze runner

    MIAKA 60 YA UHURU: Elimu yet ya mfumo was F5&6 bado in tija kwenye taifa let?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna msemo una sema " ukitaka kuleta maendeleo ktk taifa lolote, badili au weka mfumo mzuri wa Elimu". Hivyo Basi naomba kuwasilisha kwa wadau swali langu kuwa; "Elimu yetu ambayo mwanafunzi akimaliza form 4 anaenda form 5&6, ina tija gani kwa taifa letu?" Maelezo...
  18. Agrey998

    Wizara ya Elimu katika marekebisho ya mtaala mpya wa elimu ya msingi Irudishe usomaji wa hadithi katika masomo ya Lugha

    Wengi wetu katika Elimu yetu ya msingi katika masomo ya lugha tulisoma hadithi mbalimbali zilizotusaidia kukuza uwezo wetu wa kusoma na kuandika kwa wakati ule, hadithi kama Juma na Uledi, punda wa Dobi, Gulio, Hawafu mwenye Nguvu zilikua maarufu sana kipindi kile na ilivutia watoto wengi...
  19. msovero

    TAMISEMI na wizara ya elimu igeni hili kutoka wizara ya afya

    Katika jitihada za kupunguza tatizo la upungufu wa watumishi wa afya, serikali kupitia wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kuajiri kwa muda wahitimu wa kozi mbali mbali za afya ambao watakuwa wanafanya kazi kwa kujitolea katika hospitali na vituo vya kutolea huduma Ni mpango mzuri kwani...
  20. B

    Ushauri: Somo la Ujasiriamali liongezwe katika Mitaala ya viwango vyote vya Elimu

    Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu mafunzo mbalimbali waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo bila kutegemea ajira kama...
Back
Top Bottom