Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.
Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi.
Nashauri Kwa kidato cha nne...
Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF 🙌🎄🥂,
Maana Ya Global Crypto Adoption Index.
Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za...
WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YAKABIDHIWA JUMLA YA VISHKWAMBI 6,600
Na Ipyana Mwaipaja,
WyEST, DSM
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishkwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa ajili ya kugawa kwa walimu ili kuwapa motisha na...
Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini.
Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani kule wanapokwenda kuajiriwa au kujiajiri.
Marekebisho ya mitaala ya elimu katika vyuo vikuu...
Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology
Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli
Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa...
Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo.
Nikiwa nimefundisha shule za umma kwa miaka 15+ na kujua na kuona changamoto za mashuleni nimeona niandike kile ambacho katika...
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa juu ya mazingira mabovu ya walimu wetu wanaofundisha kwenye shule hiyo ya Serikali.
Mazingira ya...
Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu.
Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini.
Kama...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi.
Tulitegemea...
MOTTO: Kijana na mabadiliko ya uchumi.
LENGO: Kusaidia kukua kiuchumi vijana walio hitimu kidato cha nne na kufeli mitihani yao wakiwemo pia vijana wa makundi maalum na wapo nyumbani hawana vyanzo vya kujiingizia vipato na kuwabadilisha kiuchumi wale wasio na elimu kabisa.
DIRA: Kuhakikisha...
Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa, kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi, mapishi tofauti, ujasiriamali...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam kueleza mikakati ya wizara yake ambayo ikiwemo utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2022/23 iliyopitishwa bungeni amesema Serikali imetenga shilingi Bilioni 3 kwa mwaka huu...
Kumekuwa na mjadala mzito mitandaoni baada ya Rais Samia kumrejesha madarakani aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila.
Wengi wanaopinga uteuzi wake wanarejea tukio la tarehe 3 Oktoba 2019 ambapo Mkuu huyo wa Mkoa aliwachapa bakora wanafunzi 14 kutoka shule ya sekondari Kiwanja...
Na Malenja jr
Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza hayo matakwa yao lakini nionapo hoja zao ni dhaifu katika kunikosoa huwa naendelea na yale...
TAALUMA YANGU MASHAKANI.
Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.