wizara ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benki kuu Uganda yadukuliwa, bilioni 62 zaibiwa, maafisa 9 wizara ya fedha kikaangoni

    Polisi nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki kuu na kuiba kiasi cha shilingi bilioni 62 (Dola Milioni 16.87). Haya yanajiri baada ya wizi mkubwa kutokea Novemba mwaka jana, ambapo Waziri wa Fedha, Henry...
  2. Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  3. WIZARA YA FEDHA YA MAREKANI YADAI YA KUWA ILIDUKULIWA NA CHINA.

    Habari wakuu! Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta China. Inaripotiwa ya kuwa mdukuzi huyo aliweza kupitia nyaraka ambazo hazikuizinishwa na vituo vya kazi...
  4. TRA na Wizara ya Fedha inatakiwa kupiga hesabu kwa maslahi ya taifa

    Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs 5M kila Dungu 4×4 used na kwa kufanya hivyo sasa yakaingia mengi milioni moja kila mwaka na kusambaa...
  5. Dkt. Biteko azitaka Mamlaka za Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezitaka Mamlaka za Udhibiti na Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki kuzingatia weledi, maadili na uwajibikaji ili kuleta ufanisi uliokusudiwa. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
  6. Grace Muiyanza: Wapeni mikataba mnaowakopesha katika vikundi

    Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo. Akizungumza katika program ya elimu ya fedha kwa wananchi wa Mji Mdogo wa Mikumi, Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Afisa...
  7. Tanzania ya uchumi wa kidijitali yanukia kuelekea 'Cashless economy'

    Waziri Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango ya kupandisha hadhi ya Tanzania kuwa na uchumi wa kidijitali na mojawapo ya hatua kubwa inayochukuliwa ni kuwa mfumo madhubuti ya kidijitali itakayowezesha wananchi kufanya malipo kwa urahisi popote kwa gharama nafuu Serikali kupitia Benki kuu...
  8. Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata

    Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 === Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za ‘’VAR’’ na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadaye akisema uamuzi huo...
  9. Waziri Mwigulu apendekeza msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR

    Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu. Waziri Nchemba amesema, Tanzania inafanya vizuri kwenye michezo ndio maana imepewa fursa ya kuhost AFCON 2027. Kwa...
  10. Wizara ya Fedha kutumia Tsh. Trilioni 17.63 kwa Matumizi ya Kawaida, Tsh. Bilioni 544.05 kwa Matumizi ya Maendeleo

    Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2024/25: Muhtasari Utangulizi: Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2024/25, ikijumuisha ombi la kuidhinishiwa matumizi ya jumla ya shilingi trilioni 18.17. Kiasi hiki kimegawanywa katika matumizi ya kawaida na maendeleo kwa...
  11. TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  12. Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

    Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
  13. Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  14. (Tanzania) Clean up your data headaches! Jump into Power Query training and see how it can make your data work way easier.

    Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from experienced instructors who will guide you through the ins and outs of Power Query. Supportive...
  15. Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
  16. Mwigulu Nchemba: Wizara ya Fedha hainufaiki na mikopo ya 'Kausha Damu'

    Suala la mikopo ya chap chap yenye riba kubwa maarufu 'kausha damu' limejitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ambapo wananchi wa Singida Mjini wamemuomba kiongozi huyo kuwasaidia. Leo Alhamisi Januari 25, 2024...
  17. TAKUKURU, kwenye leseni za biashara online na za Wizara ya Fedha kuna rushwa inatolewa kwa nguvu

    Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara. Binafsi nilikuwa mhanga...
  18. Wizara ya Fedha: Tunafuatilia wanaofanya utapeli kwa Wastaafu wanaofuatilia mafao

    Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
  19. Kongamano la Wanamitandao ya Jamii: Wizara ya Fedha yatoa wito Mitandao ya Kijamii itumike kuelimisha jamii umuhimu wa kodi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
  20. Rais Samia, tunahitaji uruhusu nasi tupokee pesa kutoka Paypal kama wanavyofanya wakenya

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Pole na majukumu ya kuongoza nchi na pia hongera kwa kazi nzuri unayofanya kuifanya nchi yetu inakua kiuchumi na kuwa na amani. Kwa sasa dunia ni kijiji, unaweza kufanya kazi na mtu yoyote aliyeoko nje ya nchi. Tuna tatizo la ajira kwahiyo vijana wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…