Habarini waungwana!
Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza.
Kipindi waziri wa fedha anaiwasilisha hotuba ya bajeti mwaka 2023/2024 katika kipengele 'IV. Tathimini ya utekelezaji wa bajeti ya serikari kwa mwaka 2022/23 alieleza serikali ilitaraji kukusanya trilion 41.48 kutoka vyanzo vya ndani na...
Nimeanza na swali hili ambalo lilikua ni wito kwa serikali zote Duniani kuhusu kusambaa kwa taka za plastiki katika mazingira yetu. Kiukweli taka za plastiki ni hatari Duniani kote si kwa binadamu pekee bali hata kwa viumbe wengine.
Katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani hapo Mei 5...
BAADA YA KUSIKILIZA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA LEO NIMEGUNDUA MAMBO MATANO MAKUBWA.
Na wengi huenda huwa tunaitupia bure mawe wizara hii.
Kivipi?
JITAHIDI USOME UZI HUU MPAKA MWISHO. [emoji1545]
Kati ya wizara ambazo zinapigwa mawe nchini basi wizara ya fedha inaongoza. Kwa sababu ndio...
Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara
Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi,
Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20)
Toka Juni 2021...
Habari za majukumu.
Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye...
David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango.
Majukumu ya Idara ya PPP:
1. Kusimamia, kuchambua na kuzishauri Mamlaka za Serikali katika uanzishwaji, uchambuzi na utekelezaji wa miradi ya...
MOTTO: Kijana na mabadiliko ya uchumi.
LENGO: Kusaidia kukua kiuchumi vijana walio hitimu kidato cha nne na kufeli mitihani yao wakiwemo pia vijana wa makundi maalum na wapo nyumbani hawana vyanzo vya kujiingizia vipato na kuwabadilisha kiuchumi wale wasio na elimu kabisa.
DIRA: Kuhakikisha...
Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi...
Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team...
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya.
Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
Yaliyo fanyika hivi karibuni;
1. Kuanzishwa kwa tozo katika miamala ya simu za mkononi.
2. Kuanzishwa kwa government levy katika miamala ya kibenki.
Yangeli tosha kabisa kumtathmini Mh Mwiguru ikiwa anamudu, kwani ameonekana kuishi katika machaguo duni siku zote.
Miongoni mwa mafanikio yaliyo...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuweka bei elekezi katika huduma na bidhaa inazonunua.
"Kwanini nchi nyingine za jirani na mashirika ya kimaitaifa wananunua magari kwa bei nafuu pengine zaidi ya nusu kuliko sisi serikalini"...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.
Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la...
Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila malalamiko.
Kwa wasiofahamu, Serikali imemwaga fedha nyingi kwenye halmshauri zote nchi nzima. Huko ndipo...
Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha
Toleo la Kwanza, Agosti 2021
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Nyenzo ya Kufundishia
Elimu ya Fedha
Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha
Wizara ya Fedha na Mipango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.