Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini..
Bili za maji wasomaji hawazingatii wanapita na kubambika mamba ambazo sio sahihi. DAWASA, DAWASA. Wizara...
Emmanuel Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ambalo ni kosa la uhujumu uchumi
Kalungwana amefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa shtaka...
Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuridhika na kasi ya utekelezaji wake...
Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Menejimenti ta Wizara ya maji pamoja na kuimwagia sifa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA UWASA ) kwa ubunifu na uuzaji wa...
Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo tarehe 4 Septemba 2024 jijini Dodoma na kuahidi kushirikiana pamoja katika miradi ya maji na umwagiliaji ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Wizara hizo.
Viongozi hao, Mhe. Jumaa H...
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kusikiliza ushauri, changamoto kwa dhamira ya kudumisha msingi imara wa mahusiano na mashirikiano.
DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI
BAHI-DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma.
Mhe...
DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI
BAHI-DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma.
Mhe...
DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya?
Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
Waziri Aweso aunguruma Morogoro
Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
Huyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe!
Soma pia: Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja
Ndgu waandishi wa habari,
Wizara hii ina historia kubwa. Iliwahi kushikwa na wakubwa na watu maarufu.
Haijawahi kuboronga. Haijawahi kutokea migongano ya kimaslahi. Kwa maana hiyo haijawahi kuwa maji yapo na wananchi wanahangaika kwa sababu za kisiasa wakakosa maji.
Hili jambo sasa lipo.
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ameweka bayana kuwa Wizara ya Maji haina deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa wa miradi ya Majisafi Nchini hususani Mkoa wa Dar es salaam.
Mhe Aweso ameyasema hayo wakati akitoa mrejesho wa ziara yake ya siku tano...
Kuna wakati nilikuwa nawalaumu Wanasiasa ila Kwa sehemu kubwa incompetent leaders and staff ndio wamekuwa wanachangia shida Kwa Wananchi na mambo hayaendi.
Hongera sana bwana Aweso Kwa kumtumbua huyo Kigogo wa Dawasco asiyetimbua.👇👇
AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi maji ili kuisaidia wizara...
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni.
Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji.
Tusaidie
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA...
Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.