Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa.
2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
Kutokana na miradi ya ujenzi ya barabara na madaraja kuwa na viwango vya chini sana vya ubora, Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA.
Miradi hiyo inajengwa chini ya viwango kutokana na wale walioaminiwa na serikali (wakaguzi wa miradi hiyo) kula njama kwa kupewa...
Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo.
Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
Na amini mnapita humu, natumai ujumbe mtaupata na mtaufanyia kazi. na hii ni mahusi kwa katibu mkuu.
Ipo hivi, CRB (Contractors Registration Board ndio wanaohusika kufanya assessment ya kampuni zinazotaka kusajiliwa na kufanya kazi ya ukandarasi, halafu board board members wanakuja kuidhinisha...
Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye
Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR.
ZAA = Zanzibar
TAA = Tanzania BARA
Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake.
Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na TANROADS kuhusu kiwango cha lami.
Ukipata muda asubuhi nenda na vijana wa Tanroads mpaka kwa Musuguri geuzeni njoo Kimara hapa kati haya mawimbi ni aibu nilijaribu...
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana.
Ebu cheki...
Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Edwin Swale amesema Bajeti wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeanza vibaya na haina matumaini kwa Watanzania wengi, Wabunge wote wanalalamika na Waziri naye amekata tamaa.
Amesema Wananchi wa Lupembe wamekuwa wakifurika kwenye Kampeni na kushangilia ujio wa barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.