wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
  2. Mbunge Sanga ahoji matumizi ya mkopo wa Bilioni 350 Bajeti Wizara ya Ardhi

    MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
  3. Hotuba ya Waziri wa Afya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Afya kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24
  4. Hotuba ya bajeti ya Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya bajeti ya Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/24
  5. Jumaa Hamidu Aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
  6. Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  7. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024

    Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
  8. Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (mb), akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  9. Mbunge Condester Sichalwe aishauri Wizara ya Kilimo kufungua dirisha ili Wakulima wapate Pembejeo mapema

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
  10. Wizara ya Ardhi Kutoa Hakimiliki za Kimila 520,000 mwaka 2023/24

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24 imejipanga kuandaa na kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 520,000, Hatimiliki 500,000, Hati za Sehemu ya Jengo 1,000 na itasajili Miamala ya Hatimiliki na Nyaraka za Kisheria 100,000. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni...
  11. K

    Je, mpaka sasa Majeshi yaliyo Wizara ya Mambo ya Ndani hayajapata mshahara?

    Makamanda wananipiga chenga hawataki kulipa madeni yangu wanasema hawajapata mshahara mpaka Jana jioni wqkati watumishi wengine tiyari wamenipa changu. Mbona hii hali si kawaida au wameamua kunitapeli?
  12. Wizara ya Mifugo na Uvuvi na SUA Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WIZARA YA MIFUGO & UVUVI, SUA ZATEKELEZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA Kufuatia maelekezo aliyoyatoa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ishirikiane na Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kuwawezesha vijana kujiajiri yaanza kutekelezwa baada ya pande hizo mbili...
  13. Shilingi Trilioni 3.554 Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2023/2024

    BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja, viwanja vya...
  14. S

    Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  15. Msaada: Kozi gani nzuri ya kusomea Wizara ya Utalii/ Maliasili

    Hello jF, Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri. Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro. Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
  16. SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  17. M

    Tambo za G7 huko hiroshima zaingia doa: Bakhmut yatekwa rasmi, Wizara ya ulinzi ya Urusi yathibitisha

    Kesho Zelensky atahudhuria kikao cha G7 akiwa na taarifa mbaya za kutekwa mji ambao aliweka ngome yake uitwao Bakhmut. Key Donbass city fully liberated – Moscow Artyomovsk, also known as Bakhmut, has been captured, the Russian Defense Ministry confirmed Fighters from the Wagner PMC in...
  18. Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 212.4 kwa mwaka 2023/24

    Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  19. Condester Sichalwe aishauri serikali kuanzisha Wizara Mpya "Wizara ya Teknolojia"

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AISHAURI SERIKALI KUANZISHA WIZARA MPYA "WIZARA YA TEKNOLOJIA" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Technologia ya Habari ameishukuru Serikali kwa kujenga Minara...
  20. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…