wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni wakati sasa wa kuwa na Wizara ya Malalamiko (Ombudsman)?

    Habari za Wakati huu, Kwanza niseme tu kwamba andiko hili limekuwa inspired na Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariako pamoja masuala mengine ambayo yamejitokeza hapa nchini katika kipindi cha nyuma.Kimsingi kama nchi tunao mfumo wa kiserikali ambao unahusisha Bunge,Serikali na Mahakama.Hata hivyo...
  2. Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  3. Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  4. Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  5. Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

    Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao?? Je hakuna ratiba maalumu ya masomo? Hili tatizo lipo kwa ngazi zote Msingi mpaka Sekondari. Vitu vinavyobebwa ni kama ifuatavyo 1_ Sweta 2_Chupa la maji 3_Vitabu si chini...
  6. Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

    Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika! Ni kweli wazuri Hawafi. Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
  7. Wizara ya Afya: Mwaka 2022/23 Wajawazito 943 walifariki dunia wakati na baada ya Kujifungua

    Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni, Waziri Ummy Mwalimu amesema kwa mwaka 2022/23 jumla ya Wanawake 2,028,151 (98%) walihudhuria Kliniki kwa mara ya kwanza kulinganisha na Wajawazito Milioni 1.5 wa mwaka 2022. Pia, amesema kwa upande wa Huduma za Wakati na Baada ya...
  8. Wizara ya Afya: Mtumishi mmoja wa Afya alifariki kwa Ugonjwa wa Marburg Virus

    Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Dodoma ambapo ametoa pole na pongezi kwa Watumishi waliokuwa wakihudumia walioathirika na Ugonjwa huo mkoani Kagera. Machi 16, 2023 Serikali iliripoti uwepo wa Wagonjwa 7 na...
  9. Mbunge Martha Festo Aibana Wizara ya Maji Kupeleka Maji katika Mji wa Mpanda na Mkoa wa Katavi, Kigoma na Rukwa Kutoka Ziwa Tanganyika

    MBUNGE MARTHA FESTO AIBANA WIZARA YA MAJI KUPELEKA MAJI MPANDA NA KATAVI KUTOKA ZIWA TANGANYIKA "Sisi Wananchi wa Mji wa Mpanda, Mkoa wa Katavi tuna changamoto kubwa sana ya Maji ukizingatia Mji wa Mpanda ni Mji unaokua kwa kasi na kuwa na ongezeko kubwa sana la watu. Mji wa Mpanda Serikali...
  10. Masache Kasaka, Mbunge wa Lupa-Chunya Azungumzia Bajeti Wizara ya Kilimo

    MBUNGE MASACHE KASAKA AZUNGUMZIA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO "Serikali umeweka utaratibu mzuri wa kuchukua vijana na kuwaweka katika makambi, nashauri tuwachukue vinana ambao wameshajiajiri tayari katika kilimo na tuweze kuwapa kipaumbele, hata benki inamkopesha mtu ambaye ameshaanza biashara"...
  11. Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Bilioni 756

    WIZARA YA MAJI YAOMBA BAJETI YA BILIONI 756 Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akisoma hoja ya bajeti Bungeni amesema Wizara ya Maji imeliomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 756,205,106,000 kwa ajili ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2023/24. Akizungumza Bungeni wakati akiwasilisha...
  12. Bajeti ya Wizara ya Maji

    Leo tarehe 10 Mei, 2023 Nitachangia Bajeti ya Wizara ya Maji nakuomba idhini ya Fedha kwa Miradi ya Jimbo la Igunga kwa Mchanganuo ufuatao; 1. Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na...
  13. Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na...
  14. Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo kutoka Wizarani Prof. Herzon Nonga nijibu swali langu

    Nikuulize swali Profesa, Umesema Tanzania inaagiza tani 68.7 Za nyama ya Kitimoto kwa mwaka. Hiyo kitimoto mnaagiza kutoka nchi gani? Je, Zanzibar na Pemba ni Sehemu ya Tanzania, walipokea tani ngapi za hiyo nyama ya Kitimoto?
  15. SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  16. Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    BAJETI YA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb,) amesema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 713.8. Dkt...
  17. Bunge Laridhia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    BUNGE LARIDHIA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 2023/2024 YA TSH. BILIONI 295.9 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Bajeti hiyo iliyowasilishwa Mei 2, 2023 na Waziri wa Mifugo na Uvuvi...
  18. R

    OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa. Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99% Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi Lukuvi aliimudu sana.
  19. Askofu Dkt. Josephat Gwajima amechangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    JOSEPHAT GWAJIMA AKICHANGIA BUNGENI BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mbunge wa Jimbo Kawe lililopo Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Askofu Dkt. Josephat Gwajima amechangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Mifugo...
  20. Vipaumbele 9 vilivyowasilishwa na Waziri Ulega Bungeni kuhusu Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewasilisha BAJETI ya Wizara hiyo Bungeni Leo Mei 02, 2023, huku hatua kadhaa zenye lengo la kuifanya iwe na mchango zaidi kwenye Pato la Taifa (GDP) na kupambana na umasikini kwa wafugaji na wavuvi zikitangazwa. Waziri Abdallah Ulega, amesema kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…