Huku kwetu katika mitaa ya Manispaa ya Songea kuna wimbi la wizi wa Mita za Maji na kila aliyeibiwa anatakiwa kulipia Sh elfu 45 ili aweze kufungiwa mita nyingine.
Tunajiuliza huu ni mchezo ambao tunachezewa na baadhi ya watu wasiowaaminifu kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA.
Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.