wizi mita za maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wizi mita za maji Dodoma: Yabainika zatumika kutengenezea bangili na pete

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amesema imebainika mita zinaziibiwa zinakwenda kutengenezea bangili na pete "Katika vitu ambavyo vinatoka changamoto hapa kwa sasa hivi katika jirodoma ni wizi wa mita. Wananchi wengi wanalalamika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO SOUWASA (Ruvuma) toeni neno kuhusu ongezeko la wizi wa Mita za Maji, au kuna michezo inaendelea ili tununue Mita Mpya?

    Huku kwetu katika mitaa ya Manispaa ya Songea kuna wimbi la wizi wa Mita za Maji na kila aliyeibiwa anatakiwa kulipia Sh elfu 45 ili aweze kufungiwa mita nyingine. Tunajiuliza huu ni mchezo ambao tunachezewa na baadhi ya watu wasiowaaminifu kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wizi wa mita za maji washamiri Mbweni Teta, DAWASA wapo kimya

    Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe
Back
Top Bottom