wizi wa uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Jaji Warioba: Kulikuwepo na dosari kubwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020

    Wanabodi, kwa kauli hii ya Jaji Warioba ndio kusema kwamba CCM wanaanza kukubali mmoja mmoja kwamba walipora uchaguzi au kuna namna hatujamuelewa mzee wetu? Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati anaongea na wanahabari hivi karibuni amedokeza na kukubali kuwa...
  2. Analogia Malenga

    Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
Back
Top Bottom