wizi wa uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Trump aingilie kati kushinikiza Uchaguzi mpya hapo ndipo mgogoro utaisha na hali itakuwa shwari

    Suala sio uhusiano mbaya wa Tanzania na USA tatizo ni samia Trump aingilie kati kushinikiza uchaguzi mpya kisha mgogoro utaisha hali itakuwa shwari Marekani ina tathimini uhusiaono na Tanzania, hii yote ni kwasababu ya uongozi usio tokana na watanzania kama unauwa hadi wananchi hauwezi kuwa na...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika

    Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika . point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Ruto: Sisemi Tanzania hakuna demokrasia, lakini Kenya huwezi kushinda Uchaguzi kwa asilimia 96

    Hapa Ruto ni kama ametupa jiwe gizani hivi Yaani kapiga kwenye mshono alafu kajitetea
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Kulikuwepo na dosari kubwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020

    Wanabodi, kwa kauli hii ya Jaji Warioba ndio kusema kwamba CCM wanaanza kukubali mmoja mmoja kwamba walipora uchaguzi au kuna namna hatujamuelewa mzee wetu? Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati anaongea na wanahabari hivi karibuni amedokeza na kukubali kuwa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
Back
Top Bottom