Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali.
Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...