wizkid

  1. M

    Kwani wizkid anamshinda nini Diamond?

    Habari zenu, Nipo nasikiliza nyimbo za mwanamuziki kutokea nigeria "wizkid",ukiangalia jamaa anakubalika sana lakini mi naona kama diamond kamzidi jamaa vitu vingi sana,nkianza na uimbaji wake mbona wizkid ata habadiliki nyimbo zote staili ni ile ile ya kupooza ata hamna nyimbo za kuruka ruka...
  2. JanguKamaJangu

    Wizkid apewa Tuzo kwa kufikisha 'streams' Bilioni moja Uingereza

    Mwanamuziki huyo wa Nigeria anakuwa msanii wa kwanza kupata Tuzo ya Bilioni ya BRIT inayotolewa kwa Wasanii ambao wamepata zaidi ya mitiririko (streams) ya kidijitali bilioni moja Nchini Uingereza. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizkid kufanya shoo kubwa kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini...
  3. BARD AI

    Wizkid aahirisha ziara ya More Love, Less Ego hadi mwisho wa mwaka

    Kupitia #Twitter na #Instagram, Wizkid ameandika "Kwa sababu ya hali zisizotarajiwa, More Love, Less Ego Tour imeahirishwa hadi mwishoni mwaka 2023, Tiketi zote zilizonunuliwa zitapewa kipaumbele katika tarehe mpya". #Wizkid alitarajiwa kuanza ziara hiyo Nchini Marekani Ijumaa Machi 3, 2023...
  4. barcelonista

    Wizkid afanya bonge la show Uingereza

    Wizkidayo a.k.a Star Boy...Ameendelea pale alipoishia usiku wa kuamkia leo amejaza O2 Arena pale U.K na kufanya bonge la show, Na sikujaza tu baadae alimpandasha mtu mzima Chris Brown. Msimu huu umekuwa wa wamafanikio zaidi kwake Star Boy maana Album yake ya Made In Lagos ikifanya vizuri...
  5. C

    Msanii Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii Mwafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya Streams Milioni 300 katika Audiomack

    Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Huku Wakimpongeza Msanii Huyo Kuweka Rekodi Hiyo. Saa moja Baada Ya Wizkid...
  6. barcelonista

    Clip fupi kwenye Interview ya Star Boy Wizkid

    Hii ni Clip fupi kwenye Interview ya Star Boy Wizkid,Hapo Wizkid anasema Album yake ya Sound From The Other Side ilikuwa kali Lakini hiyo inayokuja ni kali na haina mfano,Anakazia hapo kwa kusema watu wataelewa tu(sikiliza vizuri hiyo clip) Sound From The Other Side ilikuwa Album yake ya 3...
  7. barcelonista

    Wizkid ametangaza remix ya wimbo wake wa Essence

    Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Essence mpaka kuingia kwenye Charts za Billboard, #WIZKID ametangaza remix ya wimbo huo akiwa amemshirikisha #justinBieber. - - #BIEBER Ameonekana Kufurahi Zaidi Kuwepo Kwenye Kazi Hii Ya #WIZKID Ambapo Kupitia IG Yake Amepost Na Kuandika........"Thank u...
  8. warumi

    Wizkid na muonekano wenye “UTATA”

    I don’t know but this pose looks so Gayish to me , Sijui kama ni marketing strategy to grab peoples attention au ndo kashakua ndugu wa bobrisky , what’s your opinion kuhusu hiyo picha ?
Back
Top Bottom