world

The world is the planet Earth and all life on it, including human civilization. In a philosophical context, the "world" is the whole of the physical Universe, or an ontological world (the "world" of an individual). In a theological context, the world is the material or the profane sphere, as opposed to the celestial, spiritual, transcendent or sacred spheres. "End of the world" scenarios refer to the end of human history, often in religious contexts.
The history of the world is commonly understood as spanning the major geopolitical developments of about five millennia, from the first civilizations to the present. In terms such as world religion, world language, world government, and world war, the term world suggests an international or intercontinental scope without necessarily implying participation of every part of the world.
The world population is the sum of all human populations at any time; similarly, the world economy is the sum of the economies of all societies or countries, especially in the context of globalization. Terms such as "world championship", "gross world product", and "world flags" imply the sum or combination of all sovereign states.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali inapaswa kuwaeleza Wananchi kuwa watanufaikaje na huu uwekezaji wa DP World

    Mengi yanazungumzwa sana kuhusiana na mkataba wa DP World huku maswali mengi yakikosa majibu. Watanzania wanaonesha kutoridhika na uwekezaji wa DP World katika bandari za Tanzania kwa kutokuridhishwa na majibu ya maswali yao. Watanzania wanasema kuwa hawapingi uwekezaji wao wanataka kufahamu...
  2. K

    Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

    Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
  3. Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
  4. Taarifa ya 2022 ya ufanisi wa bandari duniani: Djbouti 26, Berbera 144, DSM 312 na Mombasa 326

    Djbouti 26- DP WORLD Berbera 144- DP WORLD, DSM 312- DP WORLD (analetwa), Mombasa 326-wabia wanatafutwa === President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency will give the Port of Mombasa an edge over its biggest competitor, Dares Salaam. The measures include...
  5. Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  6. DP World sasa tafrani ndani ya chama

    Mtunzi wa vibonzo DW na mawazo yake . Mbunge wa Mbeya na spika wa bunge la jamuhuri ya Tanzania leo akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa majengo ya shule amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kutomvuta shati kiongozi mkuu wa chama hicho ambaye ni Raisi wa Tanzania katika swala zima la...
  7. R

    Mbona sisikii shamra shamra za Women's World Cup mtaani kwangu na Tanzania nzima kwa ujumla?

    Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
  8. Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  9. Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

    "DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote" Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
  10. Baada ya Kukitafiti kilichofanywa na DP World huko Djibouti, Angola na Senegal namuomba Rais Samia aachane nao rasmi

    Na pia GENTAMYCINE namuomba Rais Samia Suluhu Hassan awatazame upya Wasaidizi na Washauri wake kwani nimeanza kuona anahujumiwa na anaowaamini wakiongozwa na Mswahili mmoja asiyechoka na utajiri mkubwa alionao na pesa alizozificha kwa kuzigawa nchini Malaysia na Cyprus. Kama Angola, Djibouti na...
  11. Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  12. Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  13. Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  14. Mkataba wa DP world na Tanganyika kutafsiriwa Kwa Kiswahili na kugawanywa bure kwa wananchi kupitia Chadema.

    Ni nini madhara ya Zoezi hili Iwapo Chadema watafanikisha Zoezi hilo? Tujadili Ili bila ushabiki.
  15. Z

    CCM tukiacha mkatapa wa DP world tunapungukiwa nini? 2025 tutatumia mtutu kurudi ikulu?

    Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar . Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la...
  16. Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  17. F

    Hoja ya Zitto Kabwe ya kuunda Kampuni na kugawana mapato na DP World 50% kwa 50% ni ya kijinga!

    Nilimsikia Zitto Kabwe akipendekeza eti tuunde Local Company halafu tugawane mapato 50% kwa 50% na DP World ! Hivi uzwazwa huu Zitto Kabwe kausomea wapi hapa Duniani? Huwezi kujua equity yako kwenye investment mpaka kwanza ijulikane wewe umewekeza (nini) kwenye hiyo investment. Sasa sisi...
  18. M

    25 Most Popular Whiskey Brands in the World

    25 Most Popular Whiskey Brands in the World insidermonkey.comJul 28, 2023 10:50 PM Published on July 28, 2023 at 4:50 pm by in Lists, News In this article, we are going to discuss the 25 most popular whiskey brands in the world. You can skip our detailed analysis of the global whiskey market...
  19. U

    DP World Deal: An Unforced error by President Samia's government

    As President Samia Suluhu Hassan marked two years in office, I penned an article concluding that she is a “decent person”. However, my assessment faced significant criticism from certain circles. How dare I suggest, critics asked, that the President is decent? I observe that two groups...
  20. W

    Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…