Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika katika mitandao wa kijamii akimshauri kiongozi wa World Economic Forums (WEF), Klaus Schwab juu ya...
Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana.
==========
Mdau mwingine pia aliandika:
=====
Moja ya kitu cha wazi ni pale wataalamu wakina PHD Johari wanasema si bandari zote ila ni Bandari ya Dar es Salaam pekee! Hivi ni kweli waandishi wa habari wote Tanzania hawajasoma Headline ya IGA? hawakuelewa? walishindwa ata kuona ufafanuzi wanautoa upande wa Serikali una warakini?
Tumepewa...
Mwanzoni zilipotoka habari za kuwepo mkataba wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World nilifikiri hii ni kampuni ya kijanja janja inayoanza shughuli zake nchini. Baadae ilipokuja hoja ya kuwa ni kampuni ya waarabu nikajua athari ya elimu zitolewazo Tanzania.
Nilipojaribu kuangalia...
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais...
Naam wanajamvi,
Ukisikia mtihani mkubwa ni kama hili Sakata la Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania juu ya uendeshaji wa bandari za Tanganyika. Ukisoma ule mkataba kwa ujumla mpaka hapa Tanganyika hatuna jinsi, kwa maana tukiendelea nao tutakuwa tumejipeleka utumwani kwa namna...
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi...
Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World.
Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari.
1. Dr Salaa
2. Fr. Kitima
3. Mwanasheria wa Mbeya
4. Askofu Mwamakula
5. Prime Minister
6. Lukuvi
7. Warioba
8.Siro
9. CiC mstaafu
10. Shivji
Wafuatao ni...
Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi?
Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
"Nataka tuwekane sawa maana tayari watu wameanza kupotosha na kazi ya Serikali ni kuelimisha wananchi, mjadala wa bandari umekuwa ni mkubwa sana kuliko Mijadala mingine yote na hii ni kwasababu kwa mara ya kwanza watanzania wameshuhudia mkataba mkubwa kama wa bandari ukipelekwa Bungeni" - Mhe...
Ninashauri kila mwenye mke au mchumba au rafiki wa kike anayehudhuria mkutano huo wa kujadili DP world ampe nakala ya huo mkataba wa kihuni ausome.
Kila mtu aelimishe mwenzake kuhusu mkataba huo madhara yake na mapungufu yaliyopo.
UWT wana uelewa mdogo na kuhusu mkataba huo hawajaelimisha...
Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd.
Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali ikichezwa Sydney Australia.
Mashindano haya mwaka huu yamehusisha timu 32 tofauti na huko nyuma...
Is Samia metamorphosing into a Magufuli?
Tumultuous moments are a good test of genuineness. In these situations, good people may turn bad and vice versa. If good people turn bad, one may wonder if they were at all good.
The DP World saga has rated our politicians’ ability to debate...
Habarini wana JF
Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii.
CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.