Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona, mnapunguza uzito wa majukumu yenu kwa kisingizio cha "siku hizi mambo yamebadilika." Mmejificha nyuma ya...
Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.
Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
Wakuu
Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
WOSIA WA MAMA KWA MWANAYE KUHUSU NDOA
1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke.
2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke mzuri kwako, wengine wanaweza kuwa mama mzuri kwa watoto wako...
Mara nyingi tunaona na tunasikia kwenye vyombo vya habari kuhusu Wosia kupingwa Mahakamani kutokana na utata wa wosia huo.
Hali hii husababisha kesi ya Mirathi kutumia muda mrefu hadi kukamilika kwake. Huku ukizingatia Mali ambazo walipaswa kugawana katika familia kukaa tu na pengine...
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake.
Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu.
USSR
---
Mahakama ya Rufani imetupilia...
jackline
jacqueline ntuyabaliwe mengi
jacquiline ntuyabaliwe
kocha
kocha mpya
liverpool
mahakamani
mjane wa reginald mengi
mmoja
mpya
reginald mengi
upande
wosia
Wapendwa,
Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi...
Mpendwa MCH. Peter Msigwa, Umekuwa mwanachama mtiifu Kama siyo mwaminifu nionavyo Mimi katika chama chako tangu umejiunga nacho 2000+ vita ulipigana , vita vile vya heri na fitina ulivifaulu saaana hongera saana.
Hatimaye Leo umejiunga na Adui wako na chama chako wa takribani miaka 30...
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.
https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa.
Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake
WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA
Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi wasiopungua wanne na wawili kati ya hao lazima wawe ndugu
WOSIA KATIKA SHERIA ZA KISERIKALI
wosia...
si nawatisha
ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa
kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe...
Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, CPA Jenipha Josephat Ntangeki ametoa ushauri huo wa Wosia wakati akitoa elimu kuhusu umuhimu wa jamii kuzingaia wosia alipokuwa akishiriki Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha kwenye Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, Jumanne Oktoba 24...
Mwanangu
Yatazame tu maisha hivi hivi ila asikuambie mtu;
Hapa duniani hukuomba uletwe,Ulijikuta tu huko hapa umeunga mstari so inabidi uendelee ila asikuambie mtu maisha yatazame tu.Ila wacha nikwambie ukweli mdogo niliojifunza kuhusu Maisha.Huenda ukakusaidia
Kuhusu Siku na Wakati
Kila siku...
Habarini za usiku wependwa
Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
NIPASHE YA JANA 04/06/2023
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe.
Swali la mada hii ni Je
Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.