wosia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

    Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi. Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo...
  2. BigTall

    Je, unafahamu sehemu salama za kuhifadhi wosia?

    Japo sheria haisemi juu ya wapi pa kuhifadhi wosia, kivitendo na ilivyozoeleka kwa walio wengi sehemu zifuatazo zinaweza kutumika katika kuhifadhi wosia: 1. Benki 2. Mahakamani 3. Kwenye ofisi ya mwanasheria 4. Kwenye ofisi ya kabidhi wasii mkuu- RITA Inashauriwa kuhifadhi katika mojawapo ya...
  3. Black Butterfly

    Umeandika Wosia kwa familia na ndugu zako au kila mtu atajijua huko mbele?

    Migogoro mingi ya mirathi kwenye familia hutokea pindi mhusika anapofariki dunia, huku akiwa hajaacha wosia. Wosia ni maandishi au kauli inayoachwa na mtu anapokuwa hai ni namna gani angependa mali zake zigawanywe kwa warithi wake pindi atakapofariki dunia. Kuna aina mbili za wosia ikiwemo wa...
  4. S

    Hakuna haja ya kuandika Wosia kama Mahakama inaubatilisha

    Tunaaminishwa kwamba ili kuondoa migogoro ya kugombea mali za Marehemu ni muhimu kuandika wosia. Maana ya wosia: refers to the document written by a testator that details what is to happen to property owned by that testator upon death. Kwa mantiki hiyo wosia ni matakwa ya mwenye mali kuamua...
  5. mwanamwana

    Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala

    Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala.
  6. M

    SoC02 Wosia wa "kitabu mtatuzi wa matatizo" ndani ya nchi tajiri yenye watu masikini

    Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
  7. M

    Wanajamvi naacha wosia na nyinyi ni mashaidi

    Mzuka wanajamvi! Naapa Raila Odinga akishinda huu uchaguz nchini Kenya natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua. Hafiii mtu hapa!
  8. JanguKamaJangu

    Serikali yaitaka RITA kuchunguza na kubainisha sababu za mwamko mdogo kwenye kuandika wosia

    Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kukusanya maoni kwa wananchi kuhusu sababu ya mwamko mdogo wa Wananchi katika kuandika wosia. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo amesema wosia siyo uchuro, mtazamo hasi kuhusu suala hilo umesababisha kuibuka migogoro...
  9. sajo

    Mirathi ya Dk. Mengi: Mahakama ya Rufaa kutoa hukumu kesho tarehe 11.07.2022

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania iliyo na vikao Dar es Salaam, kesho tarehe 11.07.2022 itatoa hukumu juu ya uhalali au ubatili wa wosia ulioachwa na marehemu Dk. Mengi. Hukumu hiyo katika rufaa ya madai namba 332/01/2021 iliyofunguliwa na mjane wa Dk. Mengi, Jackline Mengi itasomwa na majaji watatu...
  10. Championship

    Bunge litunge Sheria ili mali ambazo hazikuandikiwa wosia zimilikiwe na Serikali inapotokea mmiliki amefariki

    Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki. Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua...
  11. Kassimu Mchuchuri

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  12. Chaliifrancisco

    SoC01 Wosia: Jambo la Muhimu Linalosahaulika/Kupuuzwa na Wengi

    Wosia ni kauli ya hiari inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake ikionyesha mgawanyiko wa mali/mirathi pamoja na muongozo wa familia yake baada ya kifo chake. (tafsiri ya kisheria) Katika jamii ya Kitanzania, kumekua na mitazamo mbalimbali juu ya kuandika wosia na wenegi wamekua wakihusisha na...
  13. emmapetertz

    SoC01 Wosia siku ya ndoa yangu kwa mwanamke nitakayemuoa

    WOSIA SIKU YA NDOA YANGU KWA MWANAMKE NITAKAYEMUOA Picha: www.wikipedia.com Mwandishi: Emmanuel P. Peter Jr. Mob/WhatsApp: +255 788000273 Email: emmapeter759@gmail.com Instagram: emmapetertz Source: -------NIL------ “Maisha yanaenda kwa kasi sana, siku hizi mwanamke mwenye tako anajiamini...
  14. mama D

    Wosia wa baba - John Pombe Magufuli

    Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa. Mama anasema KAZI IENDELEE 💪
  15. Meneja Wa Makampuni

    Ushauri na wosia wangu kwa Wakuu wa Wilaya walioteuliwa na Rais Samia

    Kwanza napenda kuwapa hongera, hongereni sana kwa wote mlioteuliwa kuwa maDC nendeni mkachape kazi. Wote mlioteuliwa mimi nawafahamu vizuri ni vijana mnaojituma sana kwenye jamii. Jamii inawafahamu jinsi mnavyotumia akili na uwezo wenu kwa weledi katika utafutaji na ujasiliamali mbalimbali...
  16. M

    Kuna haja sasa wosia wa marehemu ukataja mali za muhusika

    wanabodi Nimekaa nikawaza hili jambo, mara zote wosia wa marehemu unajikita kwenye historia ya elimu, kuoa au kuolewa na kazi ila hazitaji mafanikio ya kimsingi kwa marehemu, its high time tubadilishe hili pengine tukahimiza maendeleo ya vitu kwa jamii zetu
  17. Mimi.

    Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...
  18. Victor Mlaki

    Kipindi tunalegeza kamba ili kuvuta wawekezaji wa nje tuukumbuke wosia huu wa Hayati Baba wa Taifa

    Tanzania tuna hazina kubwa sana ya wosia ambao umegusa karibu kila eneo ambalo leo hii tunaouona kama changamoto kwa Taifa. Mimi ni muumini wa falsafa ya ujamaa wa Kiafrika na katika maisha yangu ninatembea na vitabu viwili vikubwa yaani Biblia na Ujamaa. Kitabu cha "Ujamaa" cha mwaka 1968...
  19. likandambwasada

    Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

    Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma. Anazindua nyumba 150 za mradi wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo Iyumbu, kata ya Iyumbu Mkoani Dodoma...
  20. tikatika

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
Back
Top Bottom