Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa hajupo sokoni. Lakini Wydad hawajali, hawasikii wala hawaogopi—wanaendelea kushindilia mlango ambao...
Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia.
Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize
Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees on 3 years contract
Clement Mzize kwenye mikono ya Rhulani Mokwena.
Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦
Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat
Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali.
Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika.
Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH.
CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika
Bahasha zinatembea hadi CAF?
Hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwasababu kama tunakumbuka fainali za mataifa ya Afrika yametamatika hivi karibuni na Bingwa kuwa muandaaji wa michuano husika yaani Cotè d'ivoire.
Kama mtakumbuka;
Baada ya Cotè d'ivoire walipenya kwenye tundu la sindano na hii ni baada kupita kama Best looser...
Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza.
Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu!
Simba msijisifu kumfunga wydad...
leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.
Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.
Nini maoni yako kuhusu mchezo huu?
Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Kikosi...
Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani
Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy
Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari zetu nje kontena
Adbest
wydady
Rgds. Pdidy
Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa
Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa
Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba...
Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana.
Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi...
Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.
Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
i watched the 2 games. Makocha wa hizi team wote Awana objective football . Useless in attack . Kama wanashinda watoa nje .
Kwa yanga it’s worse than wydad . Yanga amna kitu wanaweza useless team in this champions league . Very disorganized attack. I believe watatoka wa Mwisho kwenye magroup...
Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech.
Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi CAFCL. Katika kundi B Wydad AC ndiyo timu pekee ambayo haina pointi hadi sasa baada ya kufungwa mechi...
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
Huu ni ukweli Mchungu!
Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.