Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
Naandika kabla ya mechi ya fainali,
Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam,
Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari, washambuliaji hatari mpaka kipa ni wa viwango vya SGR.
Wanaweza kucheza mpira wa chini na wajuu, tena...
Leo kunapigwa mchezo wa Fainali ya African Football League mkondo wa pili.
Ni Mamelodi Sundowns Vs Wydad Athletic Club saa 10:00 jioni katika dimba la Loftus Versfeld jijini Pretoria.
Katika mkondo wa kwanza Wydad alishinda 2-1.
Leo kazi ni moja tu kwa Mamelodi kuibuka na ushindi na kutwaa...
22 October 2023
Enyimba Vs Wydad AC in Aftican Football League
ENYIMBA 0 - 1 WAC
Dakika 3' mchezo unaendelea magharib ya leo
Dakika 7' Kona kuelekea Enyimba
Dakika 10' hizi za mwanzo Wydad inaonesha uchu wa ushindi
Dakika ya 11' Mbouma namba 15 mgongoni wa Enyimba anapata nafasi lakini apiga...
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama
NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza.
Jibu ni hili
Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe.
Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine yoyote hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki nzima.
Muda wa kunyoana.
Baada ya First leg kutamatika kwa Al Ahly kutoka na ushindi wa mabao 2-1 leo ni fainali ya pili itayokwenda kutangaza Bingwa
Mechi ni saa 4
Vikosi kwa timu zote mbili
Wydad
Al Ahly
Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi.
Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii michuano.
Mchezo ni saa 3 kamili usiku
Kumbuka ni fainali itayochezwa mara mbili.
Hizi hapa ni...
Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya...
Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco.
Mchezo umeanza
20' Mamelodi Sundowns wanafanya mashambulizi kadhaa, wageni nao wanajibu lakini bado hakuna umakini...
Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
Hello fellas!
Baada ya safari ya Simba Sc kuishia mbele ya Wydad wamekuja watu wengi ambao hawaufahamu mpira vizuri au labda ni mashabiki nyanya ambao wanaitusi Simba na kuimwagia lawama.
Jambo moja la kujua ni kwamba jana Simba Sc kapambana kiume, tofauti na wengi walovyotabiri kwamba...
Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo.
Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC bingwa mtetezi wa cafcl.
CAF kuichagua Simba kutoka ukanda wa SADC kuwemo kwenye michuano ya Super...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.