Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha, Tanzania, aliiwakilisha Afrika katika toleo la mwaka 2009 la BET Hip Hop Awards cypher, zilizorushwa Oktoba 27 kupitia chaneli ya BET huko Marekani. Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kushiriki katika tuzo...