Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life.
Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni??
Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage.

"NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI"
"USHANTA"


RiP Father Nelly
 
Labda hao X-plastaz waliwasiliana nao lakini ratiba zao zimebana mana inaonekana wanaishi Uholanzi. Kwa jinsi wandaaji wanavyotaka kiki sidhani kama hawakufanya jitihada za kuwatafuta Xplastaz!
 
Labda hao X-plastaz waliwasiliana nao lakini ratiba zao zimebana mana inaonekana wanaishi Uholanzi. Kwa jinsi wandaaji wanavyotaka kiki sidhani kama hawakufanya jitihada za kuwatafuta Xplastaz!
Ilikuwaje wanamuhype Mr Ebbo mbele ya malegend wenyewe wa swahili Rap?
 
Hawa jamaa walitisha kabla ya kina Joh Makini
 
Duh hata wewe unawashangaa hao waandaaji wa bongo flava kuwa ni wabinafsi?
Sasa hebu imagine ubinafsi wa ccm kwa 30secs then uwashangae walau kwa 1min
 
Duh hata wewe unawashangaa hao waandaaji wa bongo flava kuwa ni wabinafsi?
Sasa hebu imagine ubinafsi wa ccm kwa 30secs then uwashangae walau kwa 1min
Ni muhimu kuweka rekodi sawa
 
Kwanza siwaelewi wale wanaoadhimisha miaka 30 ya bongo fleva, hivi kwanza unit walikuwepo mwaka gani , si kikundi alichokianzisha katibu mkuu wa ccm.
Bongo fleva ina umri wa zaidi ya miaka 30 .
 
Kwanza siwaelewi wale wanaoadhimisha miaka 30 ya bongo fleva, hivi kwanza unit walikuwepo mwaka gani , si kikundi alichokianzisha katibu mkuu wa ccm.
Bongo fleva ina umri wa zaidi ya miaka 30 .
KU crew ndiyo waasisi,wakina dar Young mob(sugu ndani) walikuwepo jamaa wanaitwa wagumu weusi asilia nk
Ila kwa chuga xplastaz walitakiwa wapewe heshima yake

Ova
 
Hata mimi nimeshangazwa sana na X-plastaz kutotajwa kwenye miaka 30 ya bongo flava. Sema labda hawakutaka kujihusisha na hilo jambo na kutotaka watajwe.
 
Hao watoto wa juzi.
Xplastaz walianza kabla ya kipindi cha RAP TIME alichokuwa anakiendesha Abuubakar Sadie.
Kuna Radio moja ya Arusha ikiitwa URS ambapo Maulid Kitenge alianzia kutangaza walikuwa wanawekq hizi pini za jadi ya Arusha.
 
Back
Top Bottom