Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

Sorry
Tuhuma zako zipo kwenye "dhana"au una uhakika kuwa hawakufanya hivyo....!?
Hawakufanya hivyo ....Niliposikia Mr Cheeks atakuwepo nikajua legends kama XPzo wangepewa heshima yao,
Kipindi hiko Xplastaz ungeweza kuwafananisha na Wu-tang Clan au Flip mode squad
 
Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life.
Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni??
Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage.

"NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI"
"USHANTA"


RiP Father Nelly
Miaka 30 ya Bongo flava ni KETE ya ccm wale wakina Madee ni kama chambo tu mana swali dogo tu kama Cloudsfm,wasafi,efm wamechemka kuandaa matamasha baada ya kupata hasara hawa wakina madee hela wanatoa wapi? Huon kuna watu wako nyuma yao?

Hii imeletwa rasm kuwapumbuza vijana ili wasahau mauaji ya october mwaka jana,na nikutaka kuua Bongo flava honors ambayo ilionekana ina mlengo wa upinzani.. ccm wanadhamin hii show pesa zinamwagwa hovyo
 
Walitakiwa wawepo kim&Boyz
Zuhura yunus enzi hizo aliandaa sana matamasha
Wakina ebony moalim nk

Ova
Kwenye miaka 30 wanayosema wao ya Bongo Flava unamuachaje mtu kama Omary Kipanga na OK'z Production mzee baba....!?
 
Back
Top Bottom