xavier

  1. FK21

    NJOO UWEKE REPLAY COMMENTS YEYOTE YA XAVIER LEGEND

    Huu ni uzi maalumu wa majibu ya kisenzi ya xavier
  2. LIKUD

    Xavier ni nani?

    JAMAA amekuwa maarufu karibu dunia nzima kwa memes zake zenye kufurahisha. Who is this person?
  3. Cheology

    Kwanini Xavier Hernández Creus(42) Hana mpango na Frenchie De Jong?

    Kama heading inavyo Xavier Hernández Creus almaarufu Xavier kiungo mstaafu na kocha wa Barca huyu fundi ni kwanini anaonekana kumchukia fundi Frenchie De Jong! Nikiwa mdau wa mashetani The Red devils nimekuwa nikifuatilia Sana usajili wake Kwa man utd, na wakati yeye anaipenda Barca, kocha...
  4. Maybach 255

    Ni 2020: Kwa Bloggers Wote Watanzania

    Habari wana jamvi, natumai mko sawa. Ni mwaka mpya na kesho tutakuwa tunaingia February na ningependa kutoa ujumbe mfupi kwa bloggers watanzania, maana mambo yanabadirika kwa kasi, na ni vyema wengi wao waondokane na kukariri. Toka swala la blogging liwe maarufu nchini, kumeibuka kila aina ya...
Back
Top Bottom