xi jinping

  1. T

    Baada ya Trump kutishia kuiwekea vikwazo BRICS kwa kuachana na matumizi ya Dollar, India imesema yenyewe haina mpango wa kuacha matumizi ya Dola

    Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na mpango wao wa kuachana na matumizi ya Dollar. Leo waziri mkuu wa India amesema wao hawajawahi kua...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia azungumza na Rais wa China, asisitiza Mpango wa Kuendeleza Miundombinu na Kukuza Uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 3, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Ukumbi wa The Great Hall of the People. Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia amesema uhusiano wa nchi hizo mbili ni...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia akutana na Rais wa China, Xi Jinping na ujumbe wake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo, Septemba 4, 2024 katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing. Rais Samia amefanikiwa kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia ya...
  4. L

    Ziara ya Rais Xi Jinping barani Ulaya inaonesha kuwa nguvu ya kidiplomasia ya China inazidi kuimarika

    Mwanzoni mwa mwezi Mei 2024 Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya kiserikali katika nchi tatu za Ulaya, ziara iliyomfikisha Ufaransa, Serbia na Hungary. Kimsingi ziara za Rais Xi katika nchi hizi tatu zililenga mahusiano kati China na nchi hizo, hata hivyo kilichoonekana kwenye ziara hiyo...
  5. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  6. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  7. benzemah

    Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  8. L

    Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  9. TPP

    Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

    Upi ni mchango wa Mzee Xi Zhongxun( Baba wa Rais wa sasa wa China Xi Jinping ) katika uanzishwaji wa Special Economic Zones katika kukuza uchumi wa China? Shenzhen, a miracle that began in 1980 Forty years after its establishment as China's first special economic zone, Shenzhen has emerged as...
  10. BARD AI

    Rais Xi Jinping kukutana na Rais Putin Moscow

    Taarifa kutoka Ikulu ya Kremlin nchini Russia, imeeleza kuwa Rais wa China Xi Jinping atasafiri hadi Moscow wiki ijayo kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, kuhusu ushirikiano wa kimkakati. Kwa mujibu mtandao wa BBC, ziara hiyo inajiri baada ya Beijing, mshirika wa Russia...
  11. L

    Xi Jinping Mtu wa watu, kwa ajili ya watu

    Rais wa China Xi Jinping amepitishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo kubwa inayoendelea kwa awamu ya tatu mfululizo. Tangu alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2013, Xi Jinping amesisitiza mara kwa mara kutanguliza wananchi mbele katika kila eneo. Katika hotuba yake aliyoitoa ijumaa baada ya...
  12. BARD AI

    China: Xi Jinping achaguliwa tena kuongoza Mhula wa tatu

    Wajumbe 3,000 wa Bunge la Kitaifa la Wananchi (NPC) wamempitisha #XiJinping kuwa Rais ikiwa ni utekelezaji wa Mabadiliko ya Katiba yaliyoondoa ukomo wa mihula miwili wa kwenye nafasi hiyo. Chama cha #NPC, ambacho wanachama wake huteuliwa na Chama Tawala cha Kikomunisti, kilimpigia Jinping Kura...
  13. L

    Kutuma salamu za pongezi kwa mkutano wa AU kwa miaka sita mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
  14. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2023

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za mwaka mpya wa 2023 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni salamu hizo: Makomredi, marafiki, mabibi na mabwana: Hamjambo! Wakati mwaka 2023 umewadia, mimi nikiwa hapa Beijing...
  15. L

    Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
  16. Stuxnet

    Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

    Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi Hakuwepo katika...
  17. I am Groot

    Rais Xi Jinping ampa onyo kali Rais Joe Biden akimuonya ''Asicheze na moto" sakata la Taiwan

    Baada ya mazungumzo kwa simu yaliyochukua masaa 2 na dakika 17 kati ya Rais wa Marekani, Joe Biden na Rais wa China, Xi Jinping, Xi atoa onyo kali kuhusu mgogoro wa Taiwan: "wale wanaocheza na moto bila shaka wataungua. China inapinga Vikali kuingiliwa katika masuala ya Taiwan na itatetea...
  18. L

    “Fanya kazi halisi ili kutangulia mbele” - Rais Xi Jinping wa China

    Xi Jinping, Mwaka 1989 alipokuwa Katibu wa Kamati ya Chama ya Eneo la Ningde la Mkoa wa Fujian alishiriki kazi kijijini. “Maneno matupu yanaleta madhara kwa taifa, juhudi halisi zinastawisha taifa.” Siku 15 tu baada ya kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Bw. Xi...
  19. L

    “Kufanikisha kazi si lazima niwepo” - Rais Xi Jinping wa China

    Mei 9, 2014, Xi Jinping alipofanya ukaguzi mkoani Henan, aliangalia hali ya ukuaji wa ngano kwenye mashamba ya Zhangshi Wilaya ya Weishi Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama, Bw. Xi Jinping alipotoa hotuba mara kwa mara alisisitiza nia yake kuhusu kusukuma mbele mageuzi...
  20. L

    “Uwatendee Raia Kama Wazazi Wako” - Rais Xi Jinping wa China

    Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya sektretarieti ya Kamati Kuu ya Chama alikwenda nyumbani kwa mwanakijiji Tang Shaowei kuwapa pole “Ni lazima...
Back
Top Bottom