xi jinping

  1. L

    “Wananchi ni Chanzo cha Nguvu Zetu” - Rais Xi Jinping wa China

    Rais Xi Jinping wa China Xi Jinping alipokuwa na umri wa miaka 59 aliteuliwa kuwa Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kwenye Mkutano wa Kwanza wa Wajumbe Wote wa Kamati Kuu ya 18 ya Chama hicho, na ni kiongozi mkuu wa kwanza wa China aliyezaliwa baada ya kuanzishwa kwa...
  2. L

    Rais Xi Jinping asisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika ili kukabiliana na changamoto mpya

    Wiki hii rais Xi Jinping wa China ameandika bara ya pongezi kwa sherehe za uzinduzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichoko mjini Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania. Chuo Kicho kilianzishwa na vyama sita vilivyoshiriki kwenye ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ambavyo ni Chama cha...
  3. L

    Je, uhasama unaweza kuondoka baada ya mkutano kati ya rais Xi Jinping na Joe Biden?

    Na Pili Mwinyi Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie madarakani, ulishuhudia viongozi hao wawili wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani wakijadili masuala...
  4. L

    Hotuba ya Rais Xi Jinping wa China kwenye Mkutano wa Kilele wa COP26 yatoa mwanga wa matumaini

    Mkutano wa mabadiliko ya tabianchi (COP26) umeanza huko Glasgow, Scotland, ukikaribisha viongozi, wataalamu na wanaharakati mbalimbali duniani ambao watajadili na kutafuta njia za kupunguza mabadiliko ya tabianchi. Katika kipindi hiki cha wiki mbili za majadiliano na mazungumzo, nchi shiriki...
  5. Roving Journalist

    Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  6. L

    Rais Xi Jinping wa China atoa hutuba kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa CPC

    Mkutano mkuu wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) leo umefanyika hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo. Kwenye hotuba yake, rais Xi ametanga kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne, yaani kujenga jamii...
Back
Top Bottom