yaahirishwa hadi desemba 30

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Jengo kuporomoka Kariakoo yaahirishwa hadi Desemba 30,2025

    Shauri la kesi ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, linalosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu limeahirishwa tena hadi Disemba 30 baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuwasomea washitakiwa maelezo ya mashahidi na vielelezo baada ya kubainika kuwa baadhi ya nyaraka hazipo...
Back
Top Bottom