yakanusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    DAWASA yakanusha taarifa za upungufu wa Maji Mto Ruvu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji. Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
  2. Mindyou

    Halmashauri Ya Ubungo yakanusha taarifa za kuuza shule ya Msingi Ubungo NHC

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuhusu kuuzwa kwa shule hiyo. Taarifa hiyo imewataka wazazi kutokuwa na hofu, kwani shule...
  3. Dalton elijah

    Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
  4. G

    Ujeruman yakanusha kuwa haijatoa ajira 250,000 kwa wakenya

    My take; Nilitaka kushangaa, wajeruman na ubaguzi wao watoe idadi kubwa hivyo ya ajira kwa wakenya!!!?
  5. BARD AI

    Air Tanzania yakanusha ndege yake kumtelekeza Abiria nchini China

    Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
  6. Analogia Malenga

    Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu. Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
  7. R

    NHIF yakanusha kadi za wanachama kutotumika katika hospitali binafsi

    WIZARA YA AFYA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI ZINAZOSAMBAA KUHUSU KUTOKUTUMIKA KWA KADI ZA WANACHAMA KATIKA VITUO BINAFSI Januari 07, 2024 Dar Es Salaam, Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF), unakanusha taarifa za upotoshaji zinazosambaa...
  8. Webabu

    Hamas yakanusha kuchinja akina mama na watoto

    Viongozi wa Hamas wamesema jeshi la Israel kwa sasa linatafuta kuungwa mkono na jumuiya za kimataifa kwa kuwasingizia kwamba walichinja watu hasa wanawake na watoto wachanga. Wamekanusha kufanya vitendo hivyo na wameitaka Israel watoe ushahidi. ======== Palestinian group Hamas, which undertook...
  9. peno hasegawa

    Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  10. Greatest Of All Time

    Ngome Fc yakanusha kufungwa 6-0 na Simba

    Hii ndio taarifa ya Ngome Fc. Klabu hiyo imekanusha kufungwa goli 6 na wameiomba Simba Sc kuwaomba radhi.
  11. Suley2019

    Serikali ya Urusi yakanusha kuhusika na mauaji ya Evgeny Prigozhin

    Ikulu ya Urusi (Kremlin) imekanusha vikali kuhusika kwa namna yoyote na ajali ya ndege inayosemekana kumuua Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, ikisema tuhuma hizo ni uzushi usiokuwa na maana. Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov, amesema shutuma dhidi ya Nchi yake hazina...
  12. Mr Sir1

    Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

    Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi. --- Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro unaoendellea, Msemaji wa Serikali ameibuka na kukana suala hilo. Soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja...
  13. Sildenafil Citrate

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  14. Suley2019

    JKT yakanusha suala la kunyanyasa vijana

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali kutokwenda kuripoti makambini, kwa kile kinachodaiwa kuwa eti, mafunzo ya JKT ni mateso, yana unyanyasaji...
  15. benzemah

    NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  16. benzemah

    Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
  17. Mpinzire

    Serikali yakanusha vikali Stendi ya Chato kutelekezwa

    Na Daniel Limbe Chato SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na kubaki magofu. Uvumi huo ambao umezua taharuki kwa baadhi ya wananchi,umelenga kudhoofisha...
  18. BARD AI

    Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
  19. BARD AI

    Ukraine yakanusha madai ya Urusi kuua wanajeshi wake 600

    Ukraine imetaja madai ya Urusi kama "propaganda" kwamba imeua mamia ya wanajeshi wa Ukraine katika shambulio. Moscow ilidai, bila kutoa ushahidi wowote, kwamba "shambulio kubwa la kombora" katika mji wa mashariki wa Kramatorsk limeua zaidi ya wanajeshi 600 wa Ukraine. Urusi imedai kuwa ilikuwa...
  20. Roving Journalist

    TRC yakanusha taarifa ya mabehewa ya SGR kuzuiwa Nchini Ujerumani

    Pia soma: Fedha zetu matopeni tena?
Back
Top Bottom