Yanga kupitia 'Yanga Sc app' imesisitiza kuwa Kocha Nabi anaendelea kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Hii ni tofauti na uvumi uliosambaa leo hii kuwa timu hiyo inaachana na Nabi.
Katika taarifa ya Yanga, wananchi wametakiwa kufuatilia habari za klabu yao pendwa kupitia vyanzo rasmi pekee...
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa.
Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha kipato cha kati cha dola 1,045 ambacho kilielezwa na Rais Yoweri Museveni katika Hotuba yake kwa...
Marekani imekanusha tuhuma zinazosambaa mitandaoni kuhusu kusambaza virusi vya "Monkey pox" kupitia maabara zake zilizoko nchini Naijeria ubalozi wa mareakani nchini Naojeria umeeleza
FUATILIA HAPA
US denies spreading Monkeypox through Nigerian labs
The United States has denied social media...
Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva
The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike Russia’s Black Sea flagship Moskva off the coast of Odessa last month, Pentagon press-secretary John...
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
UPDATES
======
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
Burkina Faso: Milio mikubwa ya bunduki yarindima kwenye kambi kadhaa za jeshi
Burkina Faso Ouagadougou Unruhen
Milio mizito ya bunduki ilisikika kwenye kambi ya jeshi katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou mapema leo asubuhi. Huduma za mtandao wa simu zimepungua kasi kuanzia Jumapili...
"Hakuna tatizo la mgao wa umeme, ili kuwe na mgao wa umeme ina maana umeme unaozalishwa unakuwa haukidhi mahitaji.
Kwa sasa tunazalisha MW 1,600 na matumizi ya kiwango cha juu ya umeme kilichorekodiwa wiki iliyopita ni MW 1,273.42" Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
"Katika kuleta...
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.
Mama shituka mapema you will thank me later.
PIA, SOMA:
- Gazeti la...
Salaam Wakuu,
Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala.
Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.