Mwanamuziki wa Bongofleva, Yammi ametangaza kuachana na mpenzi wake ambaye alimtambulisha hivi karibuni.
Tangazo hilo limekuja ikiwa ni wiki kadhaa tangu mwanaume huyo kuonekana katika video ya wimbo wa Yammi, Wasiwasi.
“Am single na sina mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mwenza wangu. Haya...