Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanamuziki wa Bongofleva, Yammi ametangaza kuachana na mpenzi wake ambaye alimtambulisha hivi karibuni.
Tangazo hilo limekuja ikiwa ni wiki kadhaa tangu mwanaume huyo kuonekana katika video ya wimbo wa Yammi, Wasiwasi.
“Am single na sina mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa mwenza wangu. Haya, waja, dua zenu zimetimia!” ameandika Yammi.
Kauli yake ya “dua zenu zimetimia” imewavutia wengi, ikionekana kuwalenga watu ambao kwa muda mrefu walikuwa wakitamani au wakitabiri kuvunjika kwa uhusiano wake.
Utakumbuka Yammi alitoka kimuziki mwaka 2023 baada ya kusainiwa katika lebo ya The African Princess yake Nandy.