Nimekuwa nikijiuliza kuhusu usalama wa majengo marefu kama maghorofa yanayoendelea kujengwa katika miji yetu, Dar es Salaam, Mwanza na maeneo mengine yanayokua kwa kasi.
Tunaona majengo yakipanda kila siku, lakini swali langu ni hili: Je, ni taasisi gani inayohakikisha kuwa maghorofa haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.