Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu. Timu inaongozwa 2:1, dakika zimeisha, mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?
Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa, tena wangekuwa na haraka ya hatari, lakini...