yanga na singida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Je, Mechi za Yanga na Singida Black Stars zina upangaji wa matokeo?

    Kumekuwa na mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka nchini kuhusu uhusiano kati ya Young Africans Sports Club (Yanga) na Singida Black Stars, huku baadhi ya mashabiki wakieleza wasiwasi wao juu ya matokeo ya mechi kati ya timu hizo mbili. Inafahamika wazi kwamba Yanga na Singida Black Stars...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

    Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo hazina nafasi. Au wenzangu mmeona hizo dalili za undugu wa hizi timu?
  3. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

    Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu. Timu inaongozwa 2:1, dakika zimeisha, mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe? Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa, tena wangekuwa na haraka ya hatari, lakini...
Back
Top Bottom