Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,411
Reaction score
1,585
Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo hazina nafasi. Au wenzangu mmeona hizo dalili za undugu wa hizi timu?
 
Back
Top Bottom