Wakuu!
Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo...
Utakumbuka wakati wa Mwinyi Zahera hapo zamani hawa Stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga kipa wetu mahiri Kindoki huku wakimzuia forward jitu mwitu msitu Molinga.
Sasa leo Stand wamekuja na...