Leo Yanga inakutana na Stand United, hii ni mechi ya kisasi

Leo Yanga inakutana na Stand United, hii ni mechi ya kisasi

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Utakumbuka wakati wa Mwinyi Zahera hapo zamani hawa Stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga kipa wetu mahiri Kindoki huku wakimzuia forward jitu mwitu msitu Molinga.

Sasa leo Stand wamekuja na record hiyo wakiamini wanaenda kutufanyia kitu mbaya ila hatutaruhusu.
 
Utakumbuka wakati wa mwinyi zahera hapo zamani Hawa stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga kipa wetu mahiri kindoki huku wakimzuia forward jitu mwitu msitu Molinga Sasa Leo stand wamekuja na record hiyo wakiamini wanaenda kutufanyia kitu mbaya ila hatutaruhusu
Kwani leo tarehe 15?

1744606166581.png
 
Back
Top Bottom